SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks Spotted From Last Week
Urembo

Beauty Looks Spotted From Last Week 

Kitu kimoja kuhusu ku-keep with celebrities ni kwamba hakuna kupoa wala kuboha, hasa katika swala la mitindo na urembo, mara zote huwa wanahakikisha kutu-update na mionekano yao na mara nyingi huwa wanapendeza sana.

Week hii haikuwa na sherehe nyingi lakini hii haikuwazuia watu maarufu kupendeza hasa katika upande wa makeup, walikuwa na makeup zao nzuri na nywele zimetengenezwa vyema, wengi wao wakiwa na calm makeup yaani zile makeup ambazo hazina kelele nyingi za kutembelea tu sehemu za kawaida sio za mitoko mikubwa (bold makeup)

Well hawa ndio walituvutia week hii

Fahyma, Lulu Diva & Sishkikii

Hamisa, Wolper & Lissah

Well tuambie makeup ya nani imekuvutia zaidi>

Related posts