SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks Spotted From Last Week
Urembo

Beauty Looks Spotted From Last Week 

Ukiachana na matatizo madogo madogo waliyo nayo makeup artist wanakazi kubwa sana katika kuwaweka watu maarufu katika hali nzuri hasa upande wa sura, kizuri zaidi ni namna sasa hivi wanapatia rangi za makeup kuendana na rangi ya mteja lakini pia kujua makeup gani inaendana na muda gani.

Week hii tumeona watu maarufu hawa wakiwa na makeup zao nzuri kabisa, wengi wakiwa wakiendana na mwezi wa Ramdhani, wengine wakiwa kwenye Indian theme huku wengine wakiwa kawaida tu, tunaweza kuona namna makeup artist wanapigania ugali wao maana kila mmoja wao amempendezesha mteja wake kwa namna yake. Baadhi ya look tulizoziona ni kutoka kwa

Diva The Bawse, Jacqueline Wolper & Maua Sama

Wengine ni Wema Sepetu, Halima Yahya na Lulu Diva

Tuambie muonekano upi umekuvutia zaidi kati yao?

Related posts