SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks Spotted Last Week
Urembo

Beauty Looks Spotted Last Week 

One thing ambayo watu maarufu kwasasa huwezi kuwakuta wakiwa hawaja pendezesha nyuso zao, they always bring the A game when it comes to makeup and skincare, well week iliyopita tumewaona Irene Uwoya, Wema Sepetu, Tessy Chocolate, Jihan Dimack, Meena Ally na Batuli wakiwa kwenye makeup zao safi na za kuvutia.

Ikiwa kila mmoja alikuwa na style yake kutokana na matakwa yake pamoja na sehemu anayo kwenda lakini one this is for sure wote wamependeza na makeup zao.

Ukiachana na makeup utapenda pia tabasamu zao pamoja na hair styles walizo weka, you can tell they mean business

Anyways tuambie ni look ya nani imekuvutia zaidi kati ya watu maarufu hawa?

Related posts

4 Comments

  1. facebook videos download

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-spotted-last-week/ […]

  2. 4-aco-dmt online kaufen,

    … [Trackback]

    […] Here you can find 58998 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-spotted-last-week/ […]

  3. ufabet911

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-spotted-last-week/ […]

  4. DMT vape pen for sale online Melbourne

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-spotted-last-week/ […]

Comments are closed.