SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Tip: Njia Rahisi Za Kuondoa Razor Burn Baada Ya Kunyoa
Dondoo

Beauty Tip: Njia Rahisi Za Kuondoa Razor Burn Baada Ya Kunyoa 

Wengi wetu tunapatwa na hili tatizo, baada ya kunyoa iwe ndevu, miguu, mikono au sehemu mbali mbali ili kupunguza nywele/ vinyweleo visivyo takikana,tunapatwa na vipele, muwasho au ngozi kuwa nyekundu hii hutokana na zile nywele au vinyweleo ambavyo vime jinyolongota sana. Hizi ni njia nne rahisi za kutumia ili kuweza kuondoa tatizo hilo

Aloe Vera – inajulikana/kusifika  kwa kuwa na wingi wa antibacterial na anti-inflammatory properties. Weka kiasi kidogo cha aloe vera gel  kwenye uvimbe uliotokana na kunyoa paka mara mbili kwa sikuna massage taratibu(usifute). Endelea hadi uvimbe utakapopungua.

Chumvi – Hizi kila mmoja wetu anayo nyumbani kwake, ni nzuri pia katika kuondoa miwasho baada ya kunyoa unachotakiwa kufanya ni weka vijiko 2 vya chumvi kwenye maji ya kikombe chenye maji ya uvuguvugu kisha koroga mpaka chumvi iyeyuke na maji. chovya pamba katika maji yako na upake sehemu iliyo athirika kisha acha ikauke, rudia process hii kila siku na utapata matokeo.

Limao – Juisi ya limao sio tu inapunguza wekundu  kutokana na kunyoa lakini pia inasaidia kuzuia maambukizi kama umetumia nyembe za zamani, kata kipande cha limao nusu kisha kamua juisi yake katika bakuli, halafu chukua pamba na upake sehemu iliyo athiriwa acha juisi ya limao ikauke kisha futa kwa maji ya baridi 

Ni mategemeo yetu utapata matokeo mazuri lakini pia usisahau kusoma tips nyingine hapa

 

 

Related posts

3 Comments

  1. slot online

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-tip-njia-rahisi-za-kuondoa-razor-burn-baada-ya-kunyoa/ […]

  2. ufabet24h

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-tip-njia-rahisi-za-kuondoa-razor-burn-baada-ya-kunyoa/ […]

  3. is B+ Magic Mushrooms legal to buy?

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-tip-njia-rahisi-za-kuondoa-razor-burn-baada-ya-kunyoa/ […]

Leave a Reply