Malaika ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae kwetu sisi tunamuona ndio ana jitaidi sana katika mavazi na urembo katika wasanii hawa wa sasa wa kike wanao imba yeye pamoja na Vanessa Mdee na Nandy.

Malaika leo amekuwa beauty crush wetu kutokana na makeup zake kuwa on point mara kwa mara ina bidi tuseme yoyote ambae ana m-face beat Malaika anaijua haswa kazi yake,

Ombre lipstick Vs grey Turban

Simple make & purple turban na hereni kubwa 

Purple lipstick

Nude Makeup 

keep up the good work Malaika