Nail Color Polish kwa wanaume imekuwa ni trend mpya tumeona watu maarufu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi wakiwa wanajaribu trend hii, watu kama Harry Styles, Snoop Dogg, Asap Rocky kutoka marekani wameonekana kwenye trend hii lakini week chache zilizopita tuliwaona Rhyno na Wildad Agripa kutoka Nchini kwetu wakiwa wamejaribu trend hii.
Inaonekana the trend is here to stay maana kwa mara nyingine tena mtu maarafu kutoka Tanzania ameonekana kupaka rangi kucha zake, ambapo mtu huyu si mwingine bali ni mwanamziki Ben Pol yeye ameamua kupaka color block nail polish

Ikiwa Africa huwa tuna-set boundaries kwa baadhi ya vitu kuonekana hivi vinafaa kufanywa na wanawake na hivi vinaweza kufanywa na wanaume, je hii ya wasanii wetu wa kiume kupaka rangi kucha imekaaje? tupe maoni yako kupitia box letu la comment hapo chini au katika mitandao yetu ya kijamii.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-in-men-color-polish-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-in-men-color-polish-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-in-men-color-polish-trend/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 85313 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-in-men-color-polish-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-in-men-color-polish-trend/ […]