Kama kuna kitu ambacho huwa tunaangalia linapo kuja swala na u-smart na kuwa stylish basi ni pamoja na nywele, when the hair is messy basi total ina haribu muonekano wako, msanii wa r’n’b kutoka Tanzania Ben Pol ana style mpya ya nywele & we are loving it.
Ben Pol ame dye nywele zake kuwa rangi ya kijani, well tumejiuliza kwanini kijani? tukaenda kwenye maana za rangi, rangi ya kijani ina maanisha rangi ya maisha tunajua tunaishi kutokana na mimea tunategemeana green color is color of life, ina maanisha energy, inamaanisha growth,harmony, freshness,safety,fertility and environment lakini pia traditionally green color isassociated with money, finances, banking, ambition.
Inawezekana Ben Pol ana tupa ujumbe kupitia rangi ya nywele zake, tuicho penda ni low cut aliyo kata na kuweka rangi hizo nywele ana weza kuzistyle na mavazi yoyote. tuambie wewe kwako ni yay au nay?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-low-cut-green-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-low-cut-green-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-low-cut-green-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ben-pol-low-cut-green-hair-style/ […]