SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks From Last Week
Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Kama kuna kitu ambacho watu maarufu hutulia mkazo ni mionekano yao, as a star you need to bring your A game off & on the screen, ikiwa una watu wanaokufuatilia basi unahitajika kuonekana vizuri kuanzia mavazi mpaka makeup zako. Lakini si tu makeup bali pia nywele na hata kucha, well hawa ndio tulio waona kutoka week iliyopita

Wema Abraham Sepetu, with a cute face like her’s ni mara chache makeup artist kumkosea hapa alionekana ku-match eye shadow yake na gauni ambalo ilikuwa na rangi ya gold, ombre lips na perfect done eye brows,kwa nywele tunawaachia muwe ma judge

Aunty Ezekiel wakiwa wote pamoja na Wema walifanyiwa makeup sehemu moja, Aunty alikuwa na smokey eyeshadow, glossy lipstick na eye brows zilizotulia huku kichwani akiwa na low bun hair style.

Nandy yeye alikuwa na simple makeup look, long lashes akiwa amemalizia muonekano wake na blonde hair.

Muna love, Mama mtumishi ali serve face akiwa na pink lipstick well installed medium lashes, perfect eye brows (we all know alipotoka mpaka hapa alipo) na akamalizia sleek back hair style

J.N.Mengi nae alikuwa na simple makeup look huku akiwa ameachia nywele mbele, how does she look 18?

well tuambie ni beauty look ya nani imekuvutia zaidi hapa?

Related posts

2 Comments

  1. rich89bet

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/beuty-looks-from-last-week/ […]

  2. Psilocybe Cubensis B+

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/beuty-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.