SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Big Pendant Necklace’s Are The New Choker’s
Urembo

Big Pendant Necklace’s Are The New Choker’s 

Wenzetu huwa wanasema “Go Big Or Go Home”, inaonekana wasanii wetu wanalitilia mkazo hili kwasasa linapokuja swala zima la mikufu na vidani vyake. Tumeona wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwa wanavalia mikufu yenye vidani vikubwa vyenye maandishi au picha mbalimbali inategemea na mapenzi yake.

Kwetu Tanzania tumewaona mwanamuziki Diamond Platnmuz na Harmonize ambapo Diamond yakwake ina kidani cha simba na nyingine cha mti wakati Harmonize anaambayo imeandikwa Kondegang na nyingine yenye kidani cha duara.

Wakati Nigeria tumewaona wasanii kama Wizkid Ayo na Burna Boy nao wakiwa na cheni za aina hii Burna yake yeye ikiwa na kidani cha sokwe kilichoandikwa African Giant wakati Wizkid yeye ikiwa na kidani cha sanamu.

Oh well tuambie maoni yako kwa aina hii ya cheni, yes or no?

Related posts

5 Comments

 1. best marijuana

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/big-pendant-necklaces-are-the-new-chokers/ […]

 2. youtube video download free

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/big-pendant-necklaces-are-the-new-chokers/ […]

 3. Home Page

  … [Trackback]

  […] Here you can find 60232 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/big-pendant-necklaces-are-the-new-chokers/ […]

 4. benefits of joining illuminati

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/big-pendant-necklaces-are-the-new-chokers/ […]

 5. 무료웹툰

  … [Trackback]

  […] There you can find 3561 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/big-pendant-necklaces-are-the-new-chokers/ […]

Comments are closed.