SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BLACCHYNA & TAMEKA HARRIS ROCKING FAUX LOCKS
Hair

BLACCHYNA & TAMEKA HARRIS ROCKING FAUX LOCKS 

Tulisema hizi Faux tuna weza kuvuka nazo 2017, maana kila super star anaonekana kuvutiwa nazo na hawa ndio walio jumuishwa katika orodha ya watu maarufu walio suka mtindo huu nao ni

Rob Kardashian baby mama Blacchyna mama wa watoto wawili ame onekana akiwa ame sukia rasta hizi in blonde color

14591091_959802970817510_1498855676913385472_n 15338529_1704624553182789_3301114878772641792_n

wakati Tameka Hariss au Tiny mke wa T.I mama wa watoto wanne nae ameonekana katika hair style hii akiwa ame sukia rasta hizi za rangi ya brown

14592053_550743665136728_180769280793509888_n

15276711_1807090732898366_4927543097400754176_n

kama bado hujazisukia mwaka huu usijali una weza kuzisukia 2017.

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts