SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Blackhead Removing Mask
Skin Care

Blackhead Removing Mask 

Kuna wenzetu na sie ambao hatuishi kujikamua vipele, baada ya kujikamua ngozi huji rudi lakini huwa ina weka weusi au kuna wale ambao wao hawakamui kabisa vipele vyao hukaa kwa muda na mwishoe kukomaa kuwa cheusi kwa juu lakini pia kuna vijipelevya puani au utosini ambavyo vinakera kweli kweli. Siku hizi ukipita huko mitandaoni utaona kila mtu anauza activated charcoal blackhead removal, Hii ina sifika kwa kuondoa hivyo vijipele lakini pia bei yake kidogo ni kubwa kwa wale ambao hawana uwezo lakini kumbe una weza kuitengeneza mwenyewe nyumbani lakini tu uwe muangalifu na uwe na vitu ambavyo vina faa.

Mahitaji –

Gundi – ambayo ni non toxic ambayo tunaweza kukuchagulia ni Elmer’s Glue unaweza kuipata stationary inauzwa 1500-2500 tsh

Activated charcoal capsules – hivi ni vidonge vya mkaa ambavyo vina kazi mbali mbali kama kutakatisha meno etc una weza kuvipata kwenye pharmacy au maduka ya urembo makubwa

Kibakuli au container na kijiko.

Namna ya kutengeneza

 • mimina nusu kikombe cha gundi yako katika kibakuli
 • weka vidonge vya Activated charcoal capsules kwenye gundi yako, viweke vingi uwezavyo
 • changanya vizuri
 • steam uso wako kwa mvuke, mimina maji moto katika beseni inamia mvuke ukiwa ume jifunika na taulo hii itasaidia mchanganyiko wako ufanye kazi vizuri japo pia una weza usifanye ukaacha ila kwa matokeo mazuri ni bora ukafanya
 • wakati bado uso wako wa uvugu vugu anza kupaka mchanganyiko wako, epuka maeneo ya chini ya macho, sehemu zenye nywele au kidonda na chunusi ambazo zinamaumivu
 • paka mchanganyiko wako mara ya kwanza na rudia tena baada ya wa kwanza kukauka kisha subiri kwa muda wa dakika 30-40 na ilisha kauka vizuri anza kutoa taratibu ukikutana na sehemu ina toka kwa maumivu tumia maji ya uvugu vugu kuosha ilo eneo

 • ukisha maliza kuiondoa osha uso wako kwa maji ya uvugu vugu na paka toner au mafuta.

Una weza kurudi kupaka mask hii mara mbili kwa week ili kupata a baby smooth skin

 

Related posts

4 Comments

 1. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Here you can find 59445 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/blackhead-removing-mask/ […]

 2. Darknet market links list 2023

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/blackhead-removing-mask/ […]

 3. Discover More

  … [Trackback]

  […] There you can find 22334 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/blackhead-removing-mask/ […]

 4. index

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/blackhead-removing-mask/ […]

Leave a Reply