SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Blonde Hair Style Inspiration From Tanasha Donna
Urembo

Blonde Hair Style Inspiration From Tanasha Donna 

Mwanamuziki Tanasha Donna kutoka Kenya amekuwa akitu-serve blonde hair styles back to back. Tanasha ali-debut blonde look yake ya kwanza April mwaka huu & she never went back, seems like what they say about blonde having more fun is true because she been having fun with her styles.

Kama wewe ni mpenzi wa nywele za rangi na unapata shida kujua style’s gani ufanye au unafikiria kwenda kubadilisha rangi nywele na ungependa kupata inspiration basi leave it to Tanasha to do so.

Kama ambavyo unaweza ku-style nywele zako za kawaida adding color to them haibalishi chochote zaidi ya kwamba zimebadilika tu rangi, unaweza kuona hapo chini namna ambavyo Tanasha ame-style nywele zake, from sleek low bun to bob cut hair style.

Lakini pia tukija kwenye rasta tumeona akiwa amezisukia za rangi ya blonde na kuzi-style kwa bantu knots na half braid hair style

well kuona au kuwa inspired zaidi unaweza kuangalia katika page yake ya instagram.

Related posts