SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Boresha Muonekano Wa Ngozi Yako Kwa Kutumia Yai
Raw chicken eggs on color background, top view
Urembo

Boresha Muonekano Wa Ngozi Yako Kwa Kutumia Yai 

Jinsi ya kufanya ukitaka kutumia yai kuboresha mwonekano wa ngozi:

 • Chukua yai, changanya na asali kijiko kimoja cha chai, na mafuta ya Olive.

Chukua mchanganyiko huo kisha paka usoni na shingoni; kaa hivyo kwa dakika 15.

Hii itasaidia kama una mashimo usoni yanayotokea chunusi zinapochubuka.

Pia itasaidia kulainisha ngozi na kukuondolea michubuko au alama za kuungua zinazosababishwa na jua.

 • Unaweza ukatenganisha kiini cha yai ama yai pingu ‘egg yolk’ na ule ute mweupe. Egg yolk ni ile sehemu ya manjano ya yai.

Chukua ute uweke kwenye bakuli na ukoroge na kupigapiga hadi mapovu yatokee kisha uichukue upake usoni na mwilini kwa dakika 15 kabla ya kuoga.

 • Kuondoa uchovu

Ili kuondoa uchovu, chukua ute ule na upake katika sehemu ya chini ya macho na kisha baada ya dakika 10 uyaoshe.

Kufanya hivyo kutasaidia kuondoa mwonekano wa uchovu usoni.

 • Iwapo unasumbuliwa na kuwashwa kwa ngozi, matumizi ya yai pia yanasaidia kuepuka tatizo hilo.

‘Barakoa’ ya yai ina utajiri wa “acid” za amino ambazo husaidia kupunguza na kuondoa miunguzo au muwasho mwilini unaotokana na protini inayopatikana kwenye yai

Imeandikwa na @binturembo

Related posts

7 Comments

 1. original site

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/boresha-muonekano-wa-ngozi-yako-kwa-kutumia-yai/ […]

 2. shop glock 19 usa

  … [Trackback]

  […] There you will find 62524 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/boresha-muonekano-wa-ngozi-yako-kwa-kutumia-yai/ […]

 3. 母乳 動画

  … [Trackback]

  […] Here you will find 91217 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/boresha-muonekano-wa-ngozi-yako-kwa-kutumia-yai/ […]

 4. serviços informática

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/boresha-muonekano-wa-ngozi-yako-kwa-kutumia-yai/ […]

 5. rudee11

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/boresha-muonekano-wa-ngozi-yako-kwa-kutumia-yai/ […]

 6. marijuana for sale australia today

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/boresha-muonekano-wa-ngozi-yako-kwa-kutumia-yai/ […]

Comments are closed.