Kama wewe ni mpenzi wa rasta basi tunauhakika utaupenda huu mtindo ambao una trend kwasasa, unaitwa Spanish braiding extensions au box braids with curly ends. Style hii ya rasta inaishia na mawimbi mwisho ambayo inakupa nafasi ya kuzi-style namna mbalimbali bila kuchosha.
Kwa wale ambao mtapenda kusukua kwa research yetu ya haraka bunda moja la rasta hizi zinauzwa kati ya 30,000 mpaka 35,000 na kusukwa ni ni kati ya tsh 40,000 mpaka 50,000.
Tumeona watu maarufu mbalimbali kutoka Tanzania na nje ya Tanzania wakiwa wamesukia nywele hii akiwepo Lavidoz, Toke Makinwa pamoja na Laura Ikeji
#Afromates Je utajaribu trend hii?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/box-braids-with-curly-ends-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/box-braids-with-curly-ends-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/box-braids-with-curly-ends-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/box-braids-with-curly-ends-trend/ […]