Gone are the era’s of praising wigs and weaves, ilikuwa si kawaida sana kukuta watu maarufu wamesukia rasta au kuwa na african natural hair katika covers za magazine au kutembea katika runways lakini kwa sasa tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wanatumia natural hair na rasta sehemu mbalimbali.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitindo na urembo, wanamitindo mbalimbali wamekuwa wakiwashutumi wabunifu na fashion editors kwa kuwalazimisha kuvaa weaves na wigs katika runways. Wengine waliokuwa na uthubutu waliwahi hata kuzivua wigs hizi wakiwa wanatembea katika runway hizo.
Well tunafurahi kuona kwa sasa watu maarufu na wanamitindo wakipaza sauti na kutumia natural hair zao kwenye majukwaa haya pamoja na magazine covers hii inafanya wengine pia kuona inawezekana kujipenda vile walivyo
We are here for this movement.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-and-natural-hair-moments-from-magazine-covers-to-runway/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-and-natural-hair-moments-from-magazine-covers-to-runway/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-and-natural-hair-moments-from-magazine-covers-to-runway/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 99156 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-and-natural-hair-moments-from-magazine-covers-to-runway/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-and-natural-hair-moments-from-magazine-covers-to-runway/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-and-natural-hair-moments-from-magazine-covers-to-runway/ […]