Huwa tunaangalia kile kilicho onekana kuwa common katika matukio makubwa kama hizi tuzo za BET, na mwaka huu imeonekana rasta (braids) zime kiki sana katika tuzo hizi ambapo watu maarufu mbali mbali kama Gabrielle Union, Meagan Good na wengine mbali mbali wali tinga katika Tuzo hizi wakiwa wame sukia rasta. Una weza kuiga msuko
Muigizaji Gabrielle Union alionekana katika red carpet hio akiwa amesukia rasta za kusokota nene aka zi style upande mmoja
Chloe Bailey na Halle Bailey walitumia rasta zao za asili waka zi style vizuri
Amber Riley nae ana rasta za sili ambazo ali style kwa kufunga kiremba na kuziachia kidogo kwa juu
Tasha Smith ame suka njia tatu rasta nene
Danielle Mone Truitt hii wegi kutoka Tanzania pia wana ifanya
Meagan Good ameenda na faux hair style huku amenyoa upande mmoja
Eva Marcille nae ame sukia faux ila yeye ni full head.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-hair-style-zilivyo-trend-bet-awards-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-hair-style-zilivyo-trend-bet-awards-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-hair-style-zilivyo-trend-bet-awards-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-hair-style-zilivyo-trend-bet-awards-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/braids-hair-style-zilivyo-trend-bet-awards-2016/ […]