Gracie Malikita ni Make up artist kutoka hapa hapa Tanzania, na ni moja kati ya make up artist wanao fanya vizuri kwa sasa. Imekua muda mrefu tukiwa tuna subiri afanye make up kwa ajili ya ma bibi harusi itakua ame sikia kilio chetu kwa maana kaachia make up looks za ma bibi harusi wa aina mbali mbali kutoka kwa makundi mbali mbali na hapo chini ni hizo make up looks
Indian Bridal make up look, alivo mix colors na jinsi ambavyo bibi harusi ana onekana calm tume penda mno
The Red Bold Lipstick na Floral Clown ni new trend katika ma bibi harusi
Simple Bridal Makeup tumependa the Africna Shanga Cheni na Gere
too simple yaani hii kizungu zaidi.
unaweza mfollow instagram @cherie_mals ili kujua zaidi kuhusu yeye na kazi zake
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/bridal-make-up-look-kutoka-kwa-gracie-malikita/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/bridal-make-up-look-kutoka-kwa-gracie-malikita/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/bridal-make-up-look-kutoka-kwa-gracie-malikita/ […]