Kuna zile style za nywele ambazo huwa zinaonekana kupendwa sana na watu mbalimbali, na ukipita mitaani au kwenye social network unazikuta sana iwe kwa watu maarufu au tu watu wa kawaida, moja kati ya hair styles ambazo tumeona zina trend kwa sasa ni hii bubble ponytail. Hair style hii ni kama ile ponytail ya kawaida ila tu imeongezewa vionjo, tumewaona watu maarufu kama
Fahyma yeye she completed the look with a nice make up on.
Dayna Nyange yeye she gave us side bubble ponytail akiwa amemaliza muonekano wake na denim on denim outfit na sexy white top na fanny pack
Wakati mwanamuziki Ariana Grande yeye alitu serve long bubble ponytail na kumalizia kwa ku-accessorize na bow tie
Vinka kutoka Uganda yeye aliamua kuipa style hii u-classy baada ya kuweka style hii na dramatic fashionable outfit, while serving modeling pose.
Afromates unaweza kufanya hii style mwenyewe nyumbani angalia hapo chini namna ya kufanya
View this post on InstagramA post shared by Journey With Izy (@debyizy) on
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 9291 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/bubble-ponytail-hair-style-is-everyone-favorite-for-now/ […]