Carrot Face Mask ina faa kwa aina yoyote ya ngozi, Carrot ina antiseptic ya asili ambayo husaidia kuifanya ngozi yako iwe safi na yenye afya, kama umechoshwa na matumizi ya makemikali na hujui utumie nini cha asili basi Carrot ni chaguo bora kwako ina faida nyingi katika ngozi. Carrot ina Vitamin C, ina potassium ambayo husaidia hydrate na moisturize cells zako za ngozi, pia ina vitamin E.
Namna ya kutengeneza Carrot Face Mask
Mahitaji
Carrot – 1
Mtindi – kijiko kimoja
Juice Ya Limao – nusu limao
Namna Ya kutengeneza
kata carrot na uzichemshe kwa dakika 10, kisha baada ya hapo ponda ponda carrots mpaka ziwe ujiuji na kisha changanya carrot na limao na mtindi.
Pakaa usoni na ukae nayo kwa dakika 20-30 kisha osha kwa maji masafi, rudia kufanya hivi mara 2-3 katika week ilikupata matokeo kwa haraka
Kama utajaribu kutumia njia hii ya carrot tafadhali husisite kutupa matokeo
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…