As much as tunapenda kuweka fikra zetu katika mavazi gani tuvae, wakati mwingine tunapenda kuvaa kawaida bila vitu vingi kuendelea katika outfit zetu lakini pia tunapenda kufanya outfit zetu zionekane polished na styled, well ukiachana na urembo mwingine miwani inaweza kufanya outfit yako kutoka kwenye level ya kawaida kwenda kwenye level nyingine.
Watu maarufu mbalimbali huwa wanatumia miwani kama accessory ambayo inasaidia ku-upgrade mionekano yao iwe wakiwa casual, business ua hata kwenye mitoko ya aina nyingine
- Casual Days
Siku ambazo unajisikia kuvaa casual, t-shirt na jeans, raba au sandals on unaweza kutumia miwani ku-upgrade muoenekano wako kama ambavyo Vanessa Mdee amefanya hapa, you can totally see nguvu ya miwani katika hii outfit, she had a bad hair day, no makeup on lakini miwani imefanya tusahau vyote hivi na kuona kama amechukua muda wake ku-pull off the outfit.
- Embellished Glasses
Embellished glasses do all the talking, outfit ikiwa casual au haina mbwembwe nyingi hizi miwani zinaweza kuiinua outfit yako kwa asilimia 75%, they steal all the attention kutoka kwenye outfit kwenda kwenye miwani,the outfit looks most extra kama utamalizia na miwani za aina hii.
- Tinted Lenses
Tinted Glasses can take your outfit from 0 to 100%, kwa sababu zipo colorful they can make your outfit pop with color hata kama uliamua kuvaa dark colors siku hio, lakini pia zina steal all the attention from the outfit.
- Over Sized Frames
Talking about go big or go home, hizi huwa hazitoki katika fashion na kama unataka outfit yako iwe up graded to the whole next level basi you can count on them.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 52028 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-approves-that-sunglasses-can-take-your-outfit-from-least-to-boujie/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 88628 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-approves-that-sunglasses-can-take-your-outfit-from-least-to-boujie/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-approves-that-sunglasses-can-take-your-outfit-from-least-to-boujie/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-approves-that-sunglasses-can-take-your-outfit-from-least-to-boujie/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-approves-that-sunglasses-can-take-your-outfit-from-least-to-boujie/ […]