SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Celebrities Eid Beauty Looks
Urembo

Celebrities Eid Beauty Looks 

Jumamosi ilikuwa ni sikukuu ya Eid ambapo waislam wamemaliza kufunga mfungo wa Ramadhani na kusheherekea sikukuu hii, kama ilivyo kawaida watu maarufu wengi huwa wanapost picha zao katika mitandao ya kijamii kuwatakia wafuasi wao sikukuu njema.

Na icho ndicho kilichotokea sikukuu hii ya Eid ambapo tuliona watu maarufu wakike na wakiume wakiwa wamepost looks zao za siku hio, na tumeona wengi wao walijiandaa vilivyo kuanzia mavazi, makeup na accessories.

Ikiwa ni sikukuu wengi walikuwa bold katika vitu vyote, makeup, mavazi na accessories wengi wakiwa na mavazi ya stara na makeup za kupendeza well hawa ndio tuliowaona siku hii ya Eid

Lulu Diva, Zuchu & Fahyvanny wakiwa kwenye Indian theme

Jacqueline Woper, Penny & Elizabeth Michael

Aunty Ezekiel, Wema Sepetu & Meena Ally

Well tuambie muonekano wa nani umekuvutia zaidi?

Related posts