Ikiwa tumezoea kuona watu maarufu wa kike wakiwa all glammed & dolled up, lakini kamba ambavyo wao ni binadamu kama binadamu wengine huwa wanamuda wanataka kupumzisha ngozi zao. Inawezekana huwa wanatuonyesha upande wao wa makeup sana kwa sababu ya kazi zao kuwataka kuonekana hivyo mara kwa mara lakini tunauhakika kama hawana kazi maalum basi wanaacha ngozi zao zipumue lakini hawatuonyeshi upande huo.
Week hii tumeona watu maarufu mbalimbali wakituonyesha upande wao wa kuwa natural bila makeup. Tumewaona Waigizaji Elizabeth Michael na Wema Sepetu wakiwa makeup free and showing their natural beauty
Lakini pia wanamuziki Anjela na Nandy nao walituonyesha natural flawless skin zao,
well moja ya faida za kuacha ngozi yako kupumua mara kwa mara ni kuipumzisha ngozi yako na makemikali.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-go-makeup-free-letting-their-skin-breath/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-go-makeup-free-letting-their-skin-breath/ […]