Katika kitu ambacho huwa kina-stress ni nywele, wakati mwingine unataka tu uwe na simple hair style ambayo haitokufanya uwe unahangaika nazo mara kwa mara. Na ndio maana kuna wakati unakuta baadhi ya watu maarufu mbalimbali wanaamua kukata nywele zao.
Well leo tuna watu maarufu wanne ambao wamekata nywele na kuziweka rangi zikapendeza mno. Tunae mwanamuziki Zuchu ambae yeye kwa sasa ana pink low cut hair style. Pia muigizaji Elizabeth Michael ambae yeye kwa sasa tumemuona na short hair cut style ambayo ameweka rangi ya blue.
sio hao tu ambao wameonekana kuwa na hair style hii tumemuona mwanamuziki Linah ambae yeye amechagua platnum blonde huku Kajala yeye akiwa na honey ginger blonde
well kama una plan ya kukata nywele, au una low cut lakini hujui uweke rangi gani unaweza kuwa inspired nao.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-hair-cut-inspiration/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-hair-cut-inspiration/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-hair-cut-inspiration/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 9874 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/celebrities-hair-cut-inspiration/ […]