SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Celebs Love The Eye Cat Pearl Embellished Sunglasses
Urembo

Celebs Love The Eye Cat Pearl Embellished Sunglasses 

Miwani ya jua ni accessory ambayo hupaswi kukosa kuwa nayo, na hii ndio maana watu maarufu wengi wanapenda kuwa nazo. Kuanzia designer sunglasses mpaka zile ambazo ni za kawaida, kuna aina nyingi za miwani lakini design ambayo inatamba kwa sasa ni Eyecat Pearl Embellished Sunglasses.

Hizi ni zile miwani zimekatwa mkato wa kama macho ya paka halafu zimeongezewa urembo wa pearls juu yake kufanya zivutie na kuwa unique zaidi, as we all know sasa hivi normal is boring you have spice everything up kuwa wa tofauti, well tumeona watu hawa maarufu kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wamevalia miwani hii

Tumemuona nayo mwanamuziki Linah akiwa amevaa white jumpsuit, amemalizia na boots nyeusi na belt nyeusi huku aki-accessorize na miwani hii ya eye cat pearl embellished.

Pia na mwanamuziki kutoka group ya Navykenzo – Aika Navy Kenzo akiwa amevalia miwani hii na peach crop top na high waist black jeans.

Tumemuona pia Rapper kutoka South Africa Moozlie akiwa katika NBAAfrica amevalia hii miwani na pull neck top nyeusi, belted blazer, skin jeans na high heels.

Tumemuona mwanamuziki Iggi Azelea akiwa amevalia aina hii ya miwani akiwa amevalia na vest nyeupe.

Related posts