Ikiwa ki bongo bongo hizi chokers zime chokwa au kutumika mno wenzetu majuu ndo trend kubwa hasa kutokana na kuvaliwa sana na watu maarufu, si kwamba tume wazidi la hasha chokers wanazo zivaa wao ni aina tofauti tofauti si sare kama ilivyo kuwa hapa Tanzania, Choker ya aina moja ina valiwa na watu maarufu zaidi ya wa tano lazima sisi kama fashion cop tuzi choke lakini wenzetu huko ukiangalia katika picha kumi ni mara moja kuona aina ya choker ime rudiwa.
Mwanamuziki Taylor Swift alichukua muda wake na kuandika kwamba chokers ni new floral clowns “”I feel like maybe chokers are the new flower crowns?” na ni kweli kwa maana zamani kwenye matamasha kama haya watu wengi walikua wakivalia floral clowns ambapo imekua tofauti kabisa mwaka huu
baadhi ya watu maarufu waliotinga chokers katika tamasha la coachella mwaka huu
Bella Hadid
Kendall Jenner
Taylor Swift
Josephine Ski river
Taylor Hill
Romee Strijd
Jasmine Tookes
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 37603 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/chokers-zilivo-tawala-katika-tamasha-la-coachella/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/chokers-zilivo-tawala-katika-tamasha-la-coachella/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/chokers-zilivo-tawala-katika-tamasha-la-coachella/ […]