Kama hukujua ni jinsi gani usheherekee Christmas basi make up artist wamekuletea ni namna gani unaweza kusheherekea ki vyako vyako hata kama huna M-Christmas tree, Make up artist kutoka Canada anaeitwa Taylor L A.K.A taytay_xx ameanzisha trend hii huku akisema “Why stop at your sweater? Spread Christmas joy via your face. ✨ #ChristmasTreeEyebrows:”,
View this post on InstagramChristmas Tree Eyebrows 🎄 Yes or No? 🤔 #christmastreeeyebrows
A post shared by Taylor R (@taytay_xx) on
Na inaonekena kupendwa kwa maana watu wengi wamejaribu trend hii
kama umependa trend hii ni tutorial aliyo itoa muanzilish wa hii Christmas Tree Eyebrow Taylor L.
Kama kuna kitu ambacho tumegundua mwaka huu ni kwamba nyusi zinaweza kufanywa kuwa chochote squiggle eyebrows zilikua a thing miezi michache nyuma
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/christmas-tree-eyebrows-are-trending-just-in-time-for-christmas/ […]