SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Coco Austin Avamiwa Baada Ya Kusuka Hizi Rasta
Hair

Coco Austin Avamiwa Baada Ya Kusuka Hizi Rasta 

Coco Austin ni mwanamitindo, model na pia ni muigizaji ameingia matatizoni baada ya kusuka hizi rasta na kuzipa jina “coco swoop”, inajulikana au inaeleweka kwamba rasta ni moja ya utamaduni wa watu wa Africa, Coco kusuka rasta si kitu kibaya lakini kilicho wakera baadhi ya watu ni kwamba kwa nini azipe jina lake kama yeye ni utamaduni wake au ndio mzinduzi wa hizo rasta,

kwetu tuna style inaitwa kidoti si kwamba Jokate ndio aliizindua ila ni jina tu na hatuja wahi kugombaniana anyways hii style tumesha wahi kuiona na tunaendelea kuiona kutoka kwa watu maarufu wengi akiwepo Queen Bee yaani Bee amesuka kama miaka miwili nyuma hivi na yeye angeetia Bee Woop

Coco katika kujitetea akahari zaidi baada ya kutolea mfano mzungu mwingine aliye wahi kusuka rasta (saa nyingine ni bora kukaa kimya) hizi ndizo video mbili za Coco akiwa ana jitetea baada ya maneno kumfika hapa na kuamua kutoa ufafanuzi wake

nyingine

swali je Coco alifika mbali kuipa hii style jina lake? au sisi wa Africa tunapeleka haya mambo mbali?

Related posts

Leave a Reply