SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CRUSHING ON IRENE PAUL’S NATURAL HAIR
Hair

CRUSHING ON IRENE PAUL’S NATURAL HAIR 

Ikiwa ni jumatano nyingine tena huko mitandaoni leo ni all about #WCW yaani Woman Crush Wednesday lakini kwetu leo tuna crush badly on Irene Paul’s natural hair, Irene ni muigizaji wa bongo movie mwenyewe huwa ana jifananisha na Angeline Jolie Well kama wana fanana kweli hivi, tuachane na hayo, Irene ni natural beauty jinsi ambavyo ngozi yake ina grow ni balaa kifupi ana jipenda ila leo tunaongelea nywele zake ambazo ni natural ( za asili) yaani haja weka dawa wengi wetu tunaitaga kipilipili

una weza kuona Irene anavyo penda nywele zake, kama ume mfollow kwenye page yake Instagram huwa ana post mara kwa mara kuhusu nywele zake na jinsi anvyo zihudumia

Lakini pia na yeye anauza bidhaa za nywele za asili na tuna weza kusema kama anacho kiuza ndicho anacho kitumia basi ni bidhaa nzuri maana nywele zake zina pendeza mno

Kama una penda natural hair na hujui nini cha kufanya mfollow Instagram – irenepaul001

her hair is so dope kila siku tukimuangalia ana tupa jibu la even african hair can grow usikate tamaa zi jali na zi tunze nywele zako zita kua

una weza kuiga style zake za nywele pia, if Irene Paul don’t inspire you to go natural we don’t know what or who will

Wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

4 Comments

 1. แทงบอล

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/crushing-on-irene-pauls-natural-hair/ […]

 2. buying magic mushrooms in oregon​

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/crushing-on-irene-pauls-natural-hair/ […]

 3. bbw cam at her job

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/crushing-on-irene-pauls-natural-hair/ […]

 4. click homepage

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/crushing-on-irene-pauls-natural-hair/ […]

Leave a Reply