Tumeiona hii style ya nywele kutoka kwa mwanamuziki wa kike wa kufoka foka Tammy The Baddest na tukaipenda sana, tunajua braids & beads  ndio ina trend katika swala zima la nywele wengi tume waona wakisukia akiwepo Vanessa Mdee, Solange etc kuwaona bonyeza hapa , safari hii tumemuona nazo Tammy na tukapenda jinsi alivyo zistyle

Amezungusha kama mabutu na ameweka beads, zimempendeza mno

Kama ungependa kujaribu kupata huo muonekano tazama video hapo chini ikikuelekeza namna ya kuzibana

ukijaribu husisite kututag kupitia mitandao yetu ya kijamii