Dior Saddle bag imeonekana kupenda na watu maarufu mbalimbali, akiwepo mwanamuziki Rihanna. Bag hii ilionyeshwa mara ya kwanza katika run way miaka ya tisini na toka miaka hio imekuwa ikifanyiwa marekebisho na kurudishwa sokoni mara kwa mara, Dior saddle bag ni iconic bag ya luxury brand hii kutoka France.
Miaka hio Dior saddle bag ilikuwa inavaliwa na wanawake tunadhani miaka hii, Luxury French Brand hii iliona umuhimu wa kuja na Dior Saddle Bag For Men, na imeonekana kupokelewa kwa mikono miwili na wanaume, tumemuona mwanamuziki kutoka Nigeria Davido akiwa amebeba bag hii huku stylist Rio Paul kutoka Tanzania nae akitutoa kimaso maso.
Davido yeye alivaa bag hii na neon outfit
Wakati stylist kutoka Tanzania Rio Paul yeye alikuwa in more casual outfit white pull neck, blue jeans na white sneakers.
Inavyosemekana bag hii inaanzia kuuzwa kuanzia USD 1,900 mpaka $35,000 yaani kuanzia pesa za ki-Tanzania 4,374,940 mpaka 80,591,000/-.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/davido-and-rio-paul-are-rocking-the-it-accessory-diors-saddle-bag-for-men/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 45793 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/davido-and-rio-paul-are-rocking-the-it-accessory-diors-saddle-bag-for-men/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/davido-and-rio-paul-are-rocking-the-it-accessory-diors-saddle-bag-for-men/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/davido-and-rio-paul-are-rocking-the-it-accessory-diors-saddle-bag-for-men/ […]