SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Detox Water For Clear & Glowing Skin
Urembo

Detox Water For Clear & Glowing Skin 

Tunapo sikia beauty start from with in haimaanishi tu kuwa na roho nzuri, lakini basi ni vitu ambavyo unakunywa na kula. Mara nyingi tunakula na kunywa vitu bila ya kujua madhara yake katika image yetu ya nje. Unaweza kuwa unakula kitu kumbe ndicho kinachozeesha na kuharibu ngozi yako ( No hatusemi uzee sio uzuri, bali wengi huwa tunakuwa na insecurities kwenye mambo fulani fulani na kujihisi uzuri wetu unapotea)

Well back to the point, kuna vinywaji mbalimbali ambavyo unavyoweza kunywa na kuachana na hizi soda, coffee ambazo zinaharibu ngozi zetu badala yake ukanywa hivi na vikakupa matokeo bora zaidi. , Mint na Limao Detox Water

Tango, Limao Na Mint Detox Water

  • Liter 1 au 2 za maji
  • Tango la size ya kati – 1
  • malimao madogo – 2/3
  • Organic mint leaves – 10/12

Namna ya kufanya

  • Osha limao na matango kisha yakatevipande vidogovidogo
  • weka vipande vya limao, matango na majani ya mint katika chupa yako
  • funga na uweke kwenye fridge kwa masaa matatu au ilale usiku mzima
  • Unaweza kunywa muda wowote kama maji ya kunywa.
  • Haitokupa tu ngozi nyororo bali ni nzuri kwa kupunguza uzito na kufanya mmeng’enyo wako wa chakula kuwa rahisi.

Tikiti Maji Na majani Ya Mint

  • 1-2 Lita za maji
  • robo ya tikiti maji
  • limao moja
  • majani ya mint 10-13

Namna ya kufanya

  • Kata vipande vya tikiti maji na weka katika jug
  • kata vipande vya limao changanya na vile vipande vya tikiti maji
  • changanya majani ya mint katika mchanganyiko wa vipande tikiti maji na limao kisha uweke na maji yako
  • viache vilale katika fridge usiku tayari kwa matumizi yako ya siku inayofuata

Kunywa hivi vinywaji ni vizuri kwa ngozi yako lakini haimaanishi uache kufanya skin care routine yako, jali ngozi yako nje na ndani kwa matokeo bora zaidi.

Related posts

5 Comments

  1. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Here you can find 53839 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/detox-water-for-clear-glowing-skin/ […]

  2. Changa DMT For Sale Melbourne

    … [Trackback]

    […] Here you will find 3525 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/detox-water-for-clear-glowing-skin/ […]

  3. pg slot

    … [Trackback]

    […] There you can find 18233 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/detox-water-for-clear-glowing-skin/ […]

  4. Free Live Sex Cams & Adult Webcam Chat Xhamster Live

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/detox-water-for-clear-glowing-skin/ […]

  5. LSM99

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/detox-water-for-clear-glowing-skin/ […]

Comments are closed.