SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo 3 Za Rangi Ya Kucha Kwa Vifundo Vya Vidole (Knuckles)  Vyeusi
Urembo

Dondoo 3 Za Rangi Ya Kucha Kwa Vifundo Vya Vidole (Knuckles) Vyeusi 

Kuna wale ambao wamezaliwa na vifundo vya vidole vyeusi naturally lakini kuna wale ambao vinasababishwa na kemikali kwa kutumia cream za kujichubua. Vyovyote ambavyo wewe umepata hizi knuckles nyeusi basi leo tupo hapa kukupa tips za rangi gani upake ili kuendana na hali hii.

  • Epuka Rangi Nyeusi

Rangi hizi zitafanya mikono yako izidi kuonekana myeusi, contrast ya rangi hizi zitafanya vifundo vyeusi vya mikono vi stand out. Epuka rangi nyeusi, dark brown,etc.

  • Epuka Rangi Kali Sana ( Shouting Colors)

Kama rangi nyeusi shouting colors nazo zina highlight weusi wa knuckles zako, lakini pia zina draw attention ya watu kuangalia vidole vyako na hii itafanya wa-notice weusi katika vifundo vyako vya vidole. Epuka rangi kama: Nyeupe, Neon Etc.

  • Chagua Rangi Ambazo Ni Subtle

Hizi ni rangi ambazo zinaweza kuwa zinaendana na rangi ya mwili wako (Nude) au pastel, lakini pia unaweza kutumia rangi za glitter au keep the glass nails as less busy as possible.

Related posts

2 Comments

  1. Pineapple Pound Cake 3.5g Flower

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/dondoo-3-za-rangi-ya-kucha-kwa-vifundo-vya-vidole-knuckles-vyeusi/ […]

  2. debt consolidation

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/dondoo-3-za-rangi-ya-kucha-kwa-vifundo-vya-vidole-knuckles-vyeusi/ […]

Comments are closed.