Baby hair ni zile nywele fupi, laini zilizopo karibu na edges za nywele zako, zinaweza kuwa ndefu, fupi na wakati mwingine curly inategemea na aina na texture ya nywele zako, mara nyingi hizi huonekana sana wakati tukiwa watoto ( ndio maana zikaitwa baby hair) lakini unaweza kukua nazo mpaka ukubwani.



Imekuwa kawaida tukisuka au kuchana nywele zetu basi na zenyewe tunazi-style vyema ili kunogesha muonekano, lakini miaka hii ya karibuni tumeona zikiingia kwenye trend na watu maarufu wamekuwa waki-zistyle namna tofauti tofauti na kutufanya tu-notice kwamba hii inawezekana kuwa trend mpya.



exaggerated baby hair style trend hii ni ile una style baby hairs kupitiliza zinafika mpaka usoni wakati zamani zilikuwa zinaishia kwenye paji la uso au komwe. Well let us know your thoughts on the trend
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 70971 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/exaggerated-baby-hair-style-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/exaggerated-baby-hair-style-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/exaggerated-baby-hair-style-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/exaggerated-baby-hair-style-trend/ […]