SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fahamu Njia Za Kukuza Nywele Zako
Hair

Fahamu Njia Za Kukuza Nywele Zako 

Kwa wapenzi wote wanaopenda kuwa na nywele ndefu za kupendeza, Je wajua hakuna mafuta yanayokuza nywele? Kwamba ukipaka  nywele yako itakua haraka ?

Kwa miaka mingi tumeamin sana kwamba ukipaka mafuta fulani ya nywele yanakuza nywele haraka na tumeakua tukitafuta mafuta yanayokuza na kujaza nywele.

Kikawaida sisi wa Waafrica wengi nywele zetu zinangukia type 4 na type hii ni nywele inayokua lakini taratibu na kila mwezi kwa type hii nywele inakua 0.5 nchi ikiwa na maana ndani ya miezi 6 nywele yako inakua nchi 3 na kwa mwaka mzima nywele yako inakua 6 nchi.

Swali mbona nywele yako haikui ? au mbona nywele yako iko pale pale mwaka mzima ukiwa na tatizo hili  jua kunatatizo katika ukuaji wa nywele yako 

Nywele ni kama bustani inahitaji matunzo inahitaji maji, mbolea na pia isipate ukavu wowote maua yatanyauka .

Nin ufanye nywele yako ikue :

 • Kua na ratiba nzuri ya nywele (hair routine) nywele yako inahitaji steaming mara kwa mara, inahitaji maji ilikuweza kuipa unyevu isiwe kavu.
 • Tumia vitu natural punguza matumizi ya bidhaa za nywele zenye chemical kali sio tu kuharibu nywele bali hata ngozi ya kichwani.
 • Jitaid kusoma lable kuna ingridients kama sulfates, parabens,petroleum etc hazifai kwa nywele yako.
 • Kula chakula ambachokipo balanced ili uweze kupata nutrients za kutosha kama vitamins, proteins , na madini mbali mbali kama ya chuma yatakusaidia nywele yako kukua vizuri

Nywele nzuri ni zaid ya kupaka mafuta,  mafuta kazi yake nikuzuia unyevu usitoke kwenye nywele yako baada ya kua umeipa nywele yako unyevu, Na kuongeza virutubisho kwenye nywele yako ili iweze kukua vizuri nayakupendeza.

Imeandaliwa na @letsgonaturaltz

Related posts

4 Comments

 1. here

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-njia-za-kukuza-nywele-zako/ […]

 2. read more

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-njia-za-kukuza-nywele-zako/ […]

 3. Penis Envy Mushroom

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-njia-za-kukuza-nywele-zako/ […]

 4. tequila clase azul gold price​

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-njia-za-kukuza-nywele-zako/ […]

Comments are closed.