SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FAHAMU ZAIDI KUHUSU NATURAL HAIR MOVEMENT
Hair

FAHAMU ZAIDI KUHUSU NATURAL HAIR MOVEMENT 

Kama utakua ni mpenzi wa mitandao ya kijamii utakua umeona pages nyingi sana zinazo husiana na Natural Hair, kuna watu wengi wame zi follow lakini hawajui ni nini hasa kinaendelea. Wengi hudhani wale watu wanatoa ushahuri tu kuhusu nywele na ni wengi ndivyo wafanyavyo, Lakini hii movement hasa ina husu kuhusu kujikubali, kuzikubali nywele zako na kuzitunza bila kuweka madawa, Natural hair zinaweza kukua vizuri na kuwa ndefu sana endapo tu utazijali.

Si kwetu tu aAfrica hata huko Nchi za magharibi wanawake wenye asili ya kiafica hutumia madawa kurefusha nywele hii uharibu nywele zao na kufanya ziwe nyepesi wakati wana uwezo wa kukuza nywele zao kawaida zikakua na afya yake nzuri.

tumblr_m9jlaqpsHN1qd09eyo1_1280-620x620-500x500

hii ovement ilianzishwa katika miaka ya 2000 ilivyo anza ilikua ina itwa movement nappy ikaja kuitwa “nappy girls” au  “nappies,”  lakini siku zilivyo kuwa zina zidi kwenda na hii movement kukua ikabadilishwa na kuitwa natural hair movement, Tanzania zipo accounts nyingi za hii movement kuna naturalhairtanzania na abeenaturals hizi ndizo kidogo kubwa kwa sasa una weza kutembelea account zao kujua zaidi.

wana fundisha protective styles ambazo zitakusaidia nywele zako zisikatike, mafuta ya kupaka na namna mbali mbali za kuzijali nywele zako lakini kubwa tulilo liona ni kumfanya mwanamama wa ki Africa kujikubali na kujipenda vile alivyo.

Related posts

4 Comments

 1. Buy DMT online Brisbane

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-natural-hair-movement/ […]

 2. Albino Penis Envy Mushroom Psilocybin

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-natural-hair-movement/ […]

 3. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-natural-hair-movement/ […]

 4. sluggers preroll https://exotichousedispensary.com/product/sluggerz-prerolls/

  … [Trackback]

  […] There you will find 64151 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-natural-hair-movement/ […]

Leave a Reply