SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fahamu Zaidi Kuhusu Shea Butter Na Faida Zake
Urembo

Fahamu Zaidi Kuhusu Shea Butter Na Faida Zake 

Shea Butter ni mafuta ambayo hutolewa kwa matunda ya mti wa shea. Miti ya shea ni asili ya Afrika Magharibi, na siagi nyingi za s zinatoka katika eneo hilo.

Siagi ya sheya imekuwa ikitumika kama kiungo katika cosmetics kwa karne nyingi. Mkusanyiko wake mkubwa wa vitamini na asidi ya mafuta – inafanya iwe bidhaa nzuri kwa ajili ya ngozi yako.

Leo tutaongelea zaidi kwenye ngozi!

  • Je Shea Butter inafaa kwa ngozi ya aina gani?

Siagi ya shea hutokana na tunda linalotoka kwenye mti wa sheya. Lakini tofauti na bidhaa nyingi za mafuta sheya butter ina kiwango cha chini sana cha proteni zinazoweza kusababisha allergy.

Hakuna utafiti ambao umefanywa na kuonyesha kwamba siagi ya shea inaweza kukuletea allergy kwa maana hio Shea Butter inafaa kwa ngozi ya aina yoyote.

  • Faida za Shea Butter katika ngozi

Yanatumika usoni na mwilini 

  • Yanatibu magonjwa ya ngozi kama 

eczema
mapele,
chunusi, 
harahara kwenye ngozi (acne) 
kuwashwa kwa ngozi, 
ngozi kusinyaa, 
uzee wa ngozi,  
ngozi kufubaa,
ngozi kudumaa (wrinkles n aging) 
Yanalainisha ngozi, 
inafanya ngozi kuwa nyororo, 
inaipa ngozi uangavu wa asili (natural glow)

  • Katika vipodozi, siagi ya shea hutumiwa kwa:

katika vipodozi vyauso Siagi  ya shea inalinda, kuongeza elasticity na kupambana na athari za kuzeeka.

Katika vipodozi vya mdomo, Mafuta ya shea hupunguza na inalinda hasa wakati wa baridi kali. Pia hutumiwa kama gloss au lip gloss.

Mbali na faida hizo shea butter zipo za aina nyingi kwa grade tofauti tofauti iliyo bora zaidi ni ile ambayo haijachakachuliwa wala kuongezwa chochote. (unrefined shea butter). Kila ikiyeyushwa na kuongezwa vitu ndani yake ndio ubora wake hupungua na hufanya hivo ili iwe rahisi kutumika kuweka katika bidhaa zingine kama lotions, creams pamoja na lip balms!

  • Je unaweza kuitumia yenyewe na unaitumiaje?

Yes unaweza kupaka siagi ya shea kama mafuta, na nirahisi kupaka unapaka kama ambavyo huwa unapaka mafuta mengine.

Shea butter au siagi ya shea inaendelea kuwa mkombozi kwa wanawake wengi! 

Tuambie, Jee wewe hutumia siagi ya shea kwa ajili ya ngozi yako?

Related posts

5 Comments

  1. magic mushrooms blue meanies

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-shea-butter-na-faida-zake/ […]

  2. Buy Psychedelics Perth

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-shea-butter-na-faida-zake/ […]

  3. weed dispensary mississauga

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-shea-butter-na-faida-zake/ […]

  4. trouver plus ici

    … [Trackback]

    […] There you will find 83690 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-shea-butter-na-faida-zake/ […]

  5. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahamu-zaidi-kuhusu-shea-butter-na-faida-zake/ […]

Comments are closed.