SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fahyma Talks About Her Beauty Line
Urembo

Fahyma Talks About Her Beauty Line 

Fashionista Fahyma amezindua beauty line yake ambapo kwa kuanza ameanza na Kope za bandia (fake eyelashes), tumefanikiwa kufanya nae mahojiano na alikuwa na haya ya kusema;

AFS:Kwanini Lashes?

Fahyma: 1: hili swali la kwanza nakujibu ktk sekta mbili A: nimechagua lashes kwasababu na penda urembo, B: lashes ni nzuri kibiashara kwa sababu nikitu ambacho kina tumika kila siku na nikitu chenye kuleta faida kwa haraka

2:Sababu 1: mimi napenda sana kuzingatia jicho kiukweli jicho litakapo pendeza basi hakuna kitakacho haribik, na mimi mwenye ni mpenzi wa lashes ivyo ilikuwa ni ndoto yangu siku moja nije kumiliki brand yangu ya lashes.


AFS: Ilikuaje Mpaka Ukachagua Kufanya Lashes?

Fahyma: kiukweli kabisa lashes nyingi za hapa nchini ninzuri ila hazina ubora sana nanimejaribu kufanya some research baadhi ya makeup artisti wengi kope wanazo tumia ili zikae vizuri mpka wazi kunje kwakutumia kifaa fulani, ivyo hiyo ina dhihilisha kuwa kope hizo au lashes hizo hazina ubora, 3: niliangalia pia soko la lashes nikaona na nafaa kuanza na lashes kama product yangu ya kwanza

AFS: Je Zinatengenezwa Hapahapa Au Zinatoka Nje?

Fahyma: lashes zangu tuna tengeneza hapapa nchini kiufupi tuna tengeneza wenyewe na lashes zangu zina ubora wa hali ya juu


AFS: Utofauti Wa Lashes Zako Na Nyingine Ni Upi?

Fahyma: ashes zangu ni human hair nikimaanisha sio plasti,ziko fluffy na tayari zimekunjwa, laini zinazoendana na kope za mtu halisia

AFS: Kitu Gani Kigumu Ulipitia Wakati Wa Process Za Hizi Lashes?

Fahyma: wakati wa photoshoot nilifika location then hakuna ambacho kilifanyika 🤣 ukizingatia ilikuwa shoot ya lashes nilipoteza pesa almost 2m kiukweli ili kuwa siku ngumu kwangu


AFS: Je Itakuwa Lashes Tu Au Tutegemee Vingine? (Kama Vipo Nini Na Nini Kama Hutojali)

Fahyma: time will tell


AFS: Una Shauri Nini Wasichana Wenye Ndoto Kama Zako Za Ku-Own A Beauty Brand?

Fahyma: wafanye kazi kwa bidii sababu kutimiza ndoto sio kitu kidogo, inabidi kujitoa nakutokukata tamaa 🙏

Related posts

5 Comments

  1. visite site

    … [Trackback]

    […] There you can find 49772 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahyma-talks-about-fahyma-beauty-line/ […]

  2. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahyma-talks-about-fahyma-beauty-line/ […]

  3. BK8thai

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahyma-talks-about-fahyma-beauty-line/ […]

  4. mafin365

    … [Trackback]

    […] There you can find 34867 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/fahyma-talks-about-fahyma-beauty-line/ […]

  5. Buy Golden Teacher Mushroom Online Perth

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/fahyma-talks-about-fahyma-beauty-line/ […]

Comments are closed.