Tumezoea kupaka parachichi directly katika ngozi, lakini pia kula parachichi kuna faida nyingi katika ngozi na mwili wako, parachichi zina sifika kwa kuwa narich healthy fatty acids, vitamins na antioxidants ambazo zina weza ku improve ngozi yako kwa ndani.
Hizi ndizo Faida 5 za parachichi
Huipa ngozi unyevu –Ni nzuri sana kwa ajili ya kutibu ngozi kavu sana na ngozi iliyo zeeka. mafuta ya parachichi yana uwezo wa ajabu wa ku moisturize ngozi yako na kuipa muonekano mzuri unacho takiwa kufanya ni kabla ya kulala chukua matone ya mafuta ya parachichi paka katika ngozi fanya hivi kila siku na utaona matokeo ndani ya siku chache

Afya ngozi na juisi ya avocado – Kunywa kikombe cha juisi avocado kwa siku ni bora kwa afya ya ngozi yak . Ita boresha na kulinda ngozi yako kutoka ndani na nje . Kufanya avocado juisi, kuchanganya parachichi moja lililo iva na kikombe cha maziwa katika blender yako , ongeza asali kama wewe ni mpenzi wa vitu vitamu kunywa na uenjoy juisi yako huku ukipata ngozi ang’avu na iliyo na afya.
Kuzuia Ngozi Kupigwa na jua – mafuta ya parachichi ukipaka yana weza kuzuia ngozi yako kuungua na jua pia kwa wale ambao tayari wamesha athiriwa na jua una weza kupaka yaka rudisha ngozi yako katika hali nzuri
Parachichi kama scrub ya mikono – changanya parachichi na sukati saga kisha paka kwenye mikono yako kaa nayo kwa dakika 5 kisha osha na sabuni, mchanganyiko huu utasaidia kuondoa cell za ngozi zilizo kufa mikononi mwako. (una weza kupaka miguuni pia)
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…