Wanawake wengi sasa hivi wanataka kuwa na muonekano mzuri na wenye mvuto na wengi hawapendi vitambi, ni jambo zuri kwa mwanamke kujiweka smart lakini ina tegemea na u smart huo unautafutaje. Kuna njia nyingine zina kupa matokeo ya haraka lakini zina madhara makubwa na kuna nyingine zina chukua muda lakini madhara yake ni kidogo mno.
leo tutaongelea faida na hasara za waist training (corset)
Hizi ni kama nguo ambapo unavaa zenyewe ndani na mavazi ya kawaida nje au hata una weza kuvaa nje ya nguo ikaonekana kama “swagg”,ni nzuri zina punguza tumbo kweli na zina kupa ule muundo wa kibantu (umbo namba nane) ni kitu ambacho kimeingia sana mjini hasa kutokana na watu maarufu kukitumia tume waona Kim,Amber Rose,Beyonce,Nicki Minaj
na wengine wengi wakikutumia na kupata matokeo mazuri lakini tuna sahau kuwa kuna uzuri na ubaya wa huu mtindo.
FAIDA:
Inasaidia kukupa umbo namba nane
inakupa matokeo kwa muda mfupi
unaweza kuvaa na kufanya kazi nyingine
inasaidia mgongo
MADHARA
Inaweza kukusababishia matatizo katika kupumua
inaweza kuharibu shape ya mifupa yako kuibana
inakupa muonekano mzuri nje lakini ndani ina kuharibu
Ni bora ufanye mazoezi ya kawaida na kupata matokeo yasiyo na madhara makubwa sana.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-na-madhara-ya-waist-training-corset/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 54570 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-na-madhara-ya-waist-training-corset/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 11434 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-na-madhara-ya-waist-training-corset/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-na-madhara-ya-waist-training-corset/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-na-madhara-ya-waist-training-corset/ […]