SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Faida Za Iced Water Facial
Urembo

Faida Za Iced Water Facial 

Inawezekana umeshawahi kuona hii iced water facial kwenye mitandao ya kijamii, ni urembo wa ngozi ambao una trend sana sasa hivi unaweza ukawa umeiona na ukajiuliza je inafaida gani katika ngozi leo tupo hapa kukuelezea;

  • Inafanya ngozi kuwa ngumu

Umri unavyozidi kwenda ndivyo ngozi zetu zinavyozidi kulegea, ukitumia huu urembo unafanya ngozi yako kuwa ngumu. Kama unapenda kupunguza ishara za kuonekana mzee kama mikunjo na ngozi kushuka basi tumia iced water facial

  • Husaida Makeup Kukaa Kwa Muda Mrefu

Duniani kwasasa tunafuata sana tricks za urembo hasa makeup kutoka Korea, na urembo wa Korea asilimia kubwa unatumiaice water facials. Process ya iced water facial kwa makeup ni kuingiza uso wako katika bakuli la maji lenye barafu kwa dakika 3-4 kisha unaukausha uso na kupaka makeup yako kama kawaida hii husaidia kufanya makeup yako ikae kwa muda mrefu.

  • Kupunguza Wekundu

Wengi wetu tuna tatizo la wekundu kwenye nyuso hasa wale tunaotumia vipodozi vikali, basi unaweza kutumia iced water facial na ikaondoa kabisa wekundu huo na kufanya ngozi yako kuonekana smooth, younger & flawless

Vitu Utakavyo Hitaji Kufanya Iced Water Facial

  • Bakuli
  • Barafu
  • Maji

Namna Ya Kufanya

Chukua bakuli kisha tia maji na vipande vyako vya barufu, Ingiza uso wako katika mchanganyiko huo na ukae kwa sekunde 10-15 fanya hivyo mara 4-5, wakati unaendela uso wako utaanza kuhisi kufa ganzi, lakini kufanya hivi mara mbili hadi tatu kwa week kutakupa matokeo mazuri, unaweza kuongezea vipande vya matango, rose patels, essentials kama lavender au green tea bags chochote ambacho utapendezwa nacho.

Kama umeshawahi kutumia urembo huu tuambie matokeo yake uliyaona?

Related posts

7 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

  2. Mushroom chocolate

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

  3. Buy magic mushrooms California

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

  4. Psilocybe Cubensis B+

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

  5. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

  6. a knockout post

    … [Trackback]

    […] Here you can find 98106 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

  7. เล่นบาคาร่า

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-iced-water-facial/ […]

Comments are closed.