SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FAIDA ZA KUOSHA USO NA APPLE SIDER VINEGAR
Skin Care

FAIDA ZA KUOSHA USO NA APPLE SIDER VINEGAR 

Apple cider vinegar ni kitu ambacho kina sifika kwa sasa katika natural skincare product, wanawake wengi wame kuwa wakiisifu bidhaa hii na kusema ina fanya wonders katika ngozi. Leo tuna namna rahisi ya kutumia bidhaa hii na ukapata matokeo mazuri unacho takiwa kufanya ni kumimina kiasi kidogo cha apple cider vinegar katika kikombe cha maji unayo oshea uso ukapata faida hizi katika ngozi ya uso wako.

Braggs-apple-cider-vinegar

  • Ina saidia kuondoa weusi na alama zilizo achwa na chunusi, apple cider vinegar ina alpha hydroxy,amabyo ina saidia ku renew dead skin cells pale unapo osha uso wako kwa kutumia apple cider vinegar basi itaondoa ule uchafu wote ulio achwa na chunusi.
  • Inasaidi kupunguza chunusi na vipele usoni, apple cider vinegar ina malik acid ambayo ina saidia kupigana na bacteria wanao sababisha chunusi.
  • Ina balance ph katika ngozi, ambayo ina maanisha ku balance mafuta katika ngozi kutasaidia kuwa na chunusi chache
  • Ina saidia kuondoa mikunjo ya uzee usoni, apple sider vinegar ina saidia kuondoa mikunjo usoni una weza kuosha kila siku au tumia pamba miminia apple cider vinegar halafu weka katika mikunjo.

reasons-for-skin-aging

  • ina saidia kufanya ngozi iwe soft, ukiosha uso wako kwa kutumia maji uliyo weka kiasi kidogo cha apple cider vinegar itasaidia kukufanya ngozi yako kuwa soft na smooth

NOTE: HAKIKISHA UNA DILUTE APPLE CIDER VINEGAR YAKO KABLA YA KUPAKA USONI, KWA MAANA NI KALI MNO INA WEZA KUFABABISHA NGOZI KUKAUKA NA KUSABABISHA INFECTIONS. CHUKUA KIASI KIDOGO CHA APPLE CIDER VINEGAR NA KIASI KINGI CHA MAJI.

Related posts