Inawezekana unakula wali kilasiku lakini inawezekana hujui kwamba mchele unaotumika kupikia wali unaweza kutengeneza sabuni na zinafaida mbalimbali katika ngozi, Yes kuna faida mbalimbali za urembo katika mchele kuanzia kwenye nywele mpaka ngozi.
Sabuni zilizotengenezwa kwakutumia mchele zinasaidia kukupa softness katika ngozi yako, kung’arisha ngozi nk. Korean, Japanese na Asian wanatumia sana mchele katika vipodozi vyao.
Faida Zake Ni:
- Zinasaidia kung’arisha ngozi yako
- Inasidia kuipa ngozi yako rangi moja kama utaitumia mara kwa mara
- inasaidia kung’arisha makovu na dark spots katika ngozi
- Inasaidia kuipa ngozi unyevu
- Kama sabuni hii itakuwa imechanganywa na asali basi itafanya ngozi yako kuwa soft & smooth
- Inasaidia kuponya dark lips
- Inasaidia ku-soothes ngozi yako kama imeharibika na jua
Unatumiaje Sabuni Ya Mchele?
- Kama ambavyo unatumia sabuni nyingine unaweza ki-massage gently sabuni hii kwenye uso kwa dk 2-3 na kisha kuosha vizuri uso wako
Je Sabuni Hii Ni Nzuri Kwa Vipele/Chunusi?
- Hakuna ushahidi wa ki-sayansi kwamba sabuni hii inaweza kusaidia kutibu chunusi/vipele
Kama wewe ni mpenzi wa kutumia vipodozi vyaasili ambavyo havijachanganywa na makemikali mengi basi unaweza kujaribu sabuni hizi ambazo huuzwa tsh 3000 mpaka 4000 mtaani.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 1299 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-kutumia-sabuni-ya-mchele-katika-ngozi/ […]