SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Faida Za Mafuta Ya Nazi Kwenye Ndevu
Urembo

Faida Za Mafuta Ya Nazi Kwenye Ndevu 

Mafuta ya nazi yana faida nyingi kwa nywele za ndevu, kama vile kuzuia ngozi kuwasha, kuimarisha nywele, kuboresha muonekano wake na kuweka ngozi kwenye hali ya unyevu. Mafuta ya nazi hutumiwa kwa kila kitu, kutoka kwa utunzaji wa ngozi na mikakati ya kupambana na kuzeeka hadi kupunguza uzito. Pia ni kiungo cha kinachotumika sana katika bidhaa za urembo na nywele.

 • Namna ya kutumia mafuta ya nazi katika ndevu zako

Tafuta mafuta ya nazi ambayo ni cold pressed ( haya huaminika kuwa bora zaidi), ambayo yanaweza kuwa ghali zaidi kutokana na ubora wake. Tumia kiasi kidogo cha mafuta haya na ueneze kwenye vidole vyako,Kisha paka mafutakwenye ndevu zako, kuhakikisha kuwa inafikia kiwango cha chini cha ndevu zako, haswa ngozi iliyo chini ya ndevu.

Unaweza kupata cold pressed coconut oil kutoka kwetu kwa shilingi elfu kumi tu. @afroswaggaoils

Faida Za Mafuta Ya Nazi Katika Ndevu Zako

 • Utunzaji wa nywele

Moja ya shida kuu ya ndevu ni jinsi ambavyo hukatika na kuharibika ubora wake. Mafuta ya nazi husaidia kuondoa tatizo hili na kufanya ndevu zako kuwa na afya na kuota katika mpangilio mzuri, paka mafuta ya nazi katika ndevu zako kila baada ya unapooga au kusafisha uso na maji.

 • Hupunguza muwasho wa ngozi

 hupunguza muwasho kwenye ngozi kutokana kunyoa, haswa kwa wenye ngozi sensitive, unaweza kutumia mafuta ya nazi kwenye ngozi kabla na baada ya kunyoa, hii inaweza kuongeza uponyaji na kujikata katika process za unyoaji, pia itafanya ngozi kuwa laini, bila kuacha uwekundu au muwasho.

 • Kuipa ngozi / ndevu unyevu

Sote tunajua umuhimu wa unyevu katika ngozi na ukuaji wa nywele, ni same pia katika ukuaji wa ndevu na ngozi ya kidevu.  Hasa baada ya kunyoa au kutumia wembe kusafisha kingo zako, kutumia mafuta ya nazi kunaweza kuzuia uvimbe au uwekundu, wakati pia unakuza uponyaji na kuzuia maambukizo yoyote. Pia hufanya ngozi na ndevu kubaki kuwa na unyevu na kuupa ukuaji wake kuwa bora na ndevu kuonakena bora.

Ukitaka kutoa order ya mafuta haya tutafute kupitia 0765 768 667

Related posts

5 Comments

 1. go right here

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-mafuta-ya-nazi-kwenye-ndevu/ […]

 2. Buy Changa DMT online New South Wales

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-mafuta-ya-nazi-kwenye-ndevu/ […]

 3. golden teacher mushroom jelly,

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-mafuta-ya-nazi-kwenye-ndevu/ […]

 4. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Here you can find 386 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-mafuta-ya-nazi-kwenye-ndevu/ […]

 5. stapelstein

  … [Trackback]

  […] Here you can find 39235 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-mafuta-ya-nazi-kwenye-ndevu/ […]

Comments are closed.