SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Faida Za Tende Na Maziwa Katika Mwili Na Urembo
Urembo

Faida Za Tende Na Maziwa Katika Mwili Na Urembo 

Umesha wahi kusikia au kuambiwa unywe tende na maziwa katika mwezi huu mtukufu? wengine huwa wanashauri unywe kama una fanya mazoezi, wengine ushauri kama wewe si mpenzi wa kula daku basi aumke unywe tende na maziwa vina aminika kwa kuwa na uwezo wa ku-boost energy mwilini well lakini kuna faida nyingine za tende na maziwa ambazo utazipata ukiachana na kuboost energy

  • Kuipa ngozi yako ung’avu ( skin glow ) 

Well tende na maziwa vinaaminika kuwa na vitamin C ambayo husaidia kufanya ngozi iwe na unyevu lakini pia kuifanya ngozi iwe laini, maziwa yana aminika kuwa na Vitamin B12 ambayo husaidia katika kufanya ngozi ipate mng’ao na kutibu chunusi na madoa.

  • Kusaidia kukinga ngozi na mikunjo ( anti – aging )

Maziwa yana Vitamin D ambayo husaidia katika kuondoa mikunjo ya ngozi, kufanya ngozi yako ionekane kijana zaidi pia tende husaidia katika kufanya ngozi ipate afya na kuondoa mikunjo.

 

Katika upande wa nywele Tende na Maziwa

  • Stronger & shiny hair 

Tende zinavirubisho ambavyo husaidia kufanya nywele zako ziwe kakamavu wakati maziwa yenyewe yanasaidia kuleta mng’ao katika nywele zako.

  • Kufanya Nywele Ziwe Na Afya

Tende zina vitamin B ambayo husaidia kuzipa nywele afya.

Kutengeneza mchanganyiko wa Maziwa na Tende 

Chukua tende kiasi ondoa mbegu, chukua na maziwa glass moja changanya na tende katika blender weka barafu kidogo na u-blend mpaka vitakapo changanyika vizuri tayari kwa kunywa.

Kutokana na huu mwezi mtukufu wengi huwa hawana muda wa kujali nywele na ngozi zao tunadhani hii ni njia rahisi ya kukuwezasha kufunga, kuwa na nguvu na bado kufanya nywele na ngozi yako kuwa katika hali nzuri.

 

Related posts

3 Comments

  1. buy night hawk custom guns

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-tende-na-maziwa-katika-mwili-na-urembo/ […]

  2. blue magnolia mushroom potency

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-tende-na-maziwa-katika-mwili-na-urembo/ […]

  3. แทงหวย

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/faida-za-tende-na-maziwa-katika-mwili-na-urembo/ […]

Comments are closed.