SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Faiza Ally Na Feza Kessy Wakituonyesha Namna Unavyo Weza Kupendeza Na Nywele Fupi
Make Up

Faiza Ally Na Feza Kessy Wakituonyesha Namna Unavyo Weza Kupendeza Na Nywele Fupi 

Mara nyinigi wanawake hawapendi kukata nywele kwa kuamini hawato pendeza hata ufanya nini lakini kumbe ni tofauti kabisa inategemea na namna ambavyo utaziweka na kujiweka. Tumeona jinsi ambavyo Faiza Ally na Fezza Kessy walivyo rock low cuts zao na kupendeza katika red carpets.

Faiza Ally

ali rock low cut yake vizuri kabisa katika hafla aliyo iandaa mwenyewe ya single mom power, ambapo alivaa a mustard trouser, sheer black top

Lakini tulicho penda zaidi ni make up yake ambayo alifanyiwa na makeup artist Sally The Mua, her makeup was perfect, the neutral color eye shadow, eye brows on fleek with a pop of bold pink lipstick iliyofanya uso upop vizuri kabisa.

lakini pia mwanamuziki Feza Kessy nae alionekana kutupa wig pembeni na kurock low cut yake katika hafla ya Malkia Wa Nguvu

Feza alikuwa moja ya best dressed wetu walivaa a sheer black & nude dress akamalizia na gold heels

Na yeye akatuvutia sana na makeup yake ambapo yeye make up artist wake aliamua ku-concetrate kwenye macho, alimpaka silver eye makeup /shadow ambayo ilifanya sura yake ichangamke, eye brows zilikuwa perfect done akamalizia na nude lipstick.

 

Tuambie makeup ya nani imekuvutia zaidi kati ya Faiza na Feza Kessy?

 

Related posts

2 Comments

  1. พนันบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/faiza-ally-na-feza-kessy-wakituonyesha-namna-unavyo-weza-kupendeza-na-nywele-fupi/ […]

  2. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Here you will find 3896 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/faiza-ally-na-feza-kessy-wakituonyesha-namna-unavyo-weza-kupendeza-na-nywele-fupi/ […]

Comments are closed.