Piercing lip ring imekuwa kwenye trend kwa muda mrefu sasa kutoka kwa Kim Kardashian,

Amber Rose

na Cara Delevingnena

list ina endelea lakini vipi kama  huwezi kutoboa lips au kuweka hio ring fake, make up artist huyu na beauty guru Farah Dhukai ame tafuta jibu all you need ni metallic lipstick na dark lipstick una weza kuangalia chini hapo kujifunza zaidi, thanks us later

https://youtu.be/OFEKN3fHBPs

Comments

comments