SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fanya Haya Kuacha Kuharibu Nywele Zako Na Matumizi Ya Moto
Hair

Fanya Haya Kuacha Kuharibu Nywele Zako Na Matumizi Ya Moto 

Kwa wapenzi wote wanaopenda nywele hakuna kitu kinachoua nywele kama matumiz ya moto unaotokana na dryer, blow dryer au pasi .

Wengi wanaamin kua njia pekee ya kukausha au kunyoosha nywele ni kutumia moto lakin hayo ni makosa makubwa sana katika utunzaji wa nywele yako

Madhara ya moto kwenye nywele yako.

 • Inakausha unyevu wote ulioko kwenye nywele yako na kua kavu na kukatika.
 • Inaharibu hair structure yako na kua dhaifu.
 • Inaharibu protein bonds ya nywele na kua dhaifu sana.
 • Inaunguza hair layer nakuifanya dhaifu 
 • Inabadili rangi ya nywele yako ilivyokua nyeusi na kua ya brown

Nini cha kufanya ili uweze kuepuka moto

 • Baada ya kuosha nywele yako kausha na Tshirt ya cotton au micro fiber towel.
 • Baada ya hapo ipake nywele yako leave in conditioner (water based product)
 • Halaf unaweza kusuka nywele ya uzi ,twist au hata ukasuka hakuna shida yoyote

Kwa wale ambao mlikua mnatumia moto sana inamaana kwasasa nywele zenu zina heat damage na ndio maana nywele zenu hazijai wala kuota vizur tena kwakua zimeharibiwa na moto yafuatayo yatakusaidia kurudisha nywele zako katika hali nzuri

 • Andaa hair routine nzuri uwe unafanya steaming(deep conditioner) mara kwa mara kama ya protein mara moja kwa mwez na nyingne water based products.
 • Acha kabisa kutumia moto tena iliusiharibu nywele yako tena.
 • Tumia natural products kwenye nywele yako kama avocado, ndiz,asali, majan ya mpera ,mronge zitasaidia kurudisha nywele yako kwa hali ya kawaida kwakua hzi zinadirect nutrients kwenye nywele yako.
 • Kurudisha nywele kua katika hali yake inategema kwakua kila nywele inategemea inaharibika kwa kiwango gani.

Kwahiyo ushauri wangu usitumie moto tena kausha nywele yako kwa air drying.

Imeandikwa na @letsgonaturaltz


Related posts

5 Comments

 1. big boobs bbw teen on cam

  … [Trackback]

  […] There you can find 64939 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/fanya-haya-kuacha-kuharibu-nywele-zako-na-matumizi-ya-moto/ […]

 2. Order DMT Crystal For Sale New South Wales

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/fanya-haya-kuacha-kuharibu-nywele-zako-na-matumizi-ya-moto/ […]

 3. 주식

  … [Trackback]

  […] Here you can find 90196 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/fanya-haya-kuacha-kuharibu-nywele-zako-na-matumizi-ya-moto/ […]

 4. https://www.timesunion.com/marketplace/article/phenq-reviews-17525542.php

  … [Trackback]

  […] There you will find 53902 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/fanya-haya-kuacha-kuharibu-nywele-zako-na-matumizi-ya-moto/ […]

 5. orissa india mushroom review

  … [Trackback]

  […] Here you will find 83125 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/fanya-haya-kuacha-kuharibu-nywele-zako-na-matumizi-ya-moto/ […]

Comments are closed.