SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fanya Haya Kulipa Weaving Lako Muonekano Mpya
Urembo

Fanya Haya Kulipa Weaving Lako Muonekano Mpya 

Hakuna kitu kibaya kama weaving lililo choka, yani ni bora kusuka vitunguu au twende kilioni, na kibaya Zaidi kama hilo weaving umenunua bei ghali basi roho itakuuma mpaka basi, hizi ni namna za kufanya weaving lako lionekane jipya hata kama umesukia mara mia lakini hii ni kwa ajili ya Human hair weaving (Extension)

  • Osha weaving lako
  • Lichane weaving lako kuanzia juu mpaka chini, hadi pale litakapo nyooka na kukaa sawa
  • Paka mafuta ya asili kama mafuta ya nazi, almond, olive, jojoba na kadhalika.
  • Chana tena weaving lako mpaka lichambuke vizuri (lisishikane na mafuta)
  • Weka weaving lako katika mfuko wa plastic na funga kwa nguvu/kaza mfuko, hakikisha mfuko huu si wa kuyeyuka ukiingizwa ndani ya microwave
  • Ingiza weaving kwenye microwave na uliache kwa dk1 hadi 2
  • Toa mfuko wako ukiwa wa moto na uufunike katika taulo kwa dakika 10
  • KAUSHA NYWELE YAKO

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

Related posts

2 Comments

  1. Cheap DMT for sale Victoria

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-hivi-kulipa-weaving-lako-muonekano-mpya/ […]

  2. bbw swingers on hidden cam

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-hivi-kulipa-weaving-lako-muonekano-mpya/ […]

Leave a Reply