SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend
Urembo

Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend 

Mini ( Tiny ) Bag trend bado inaendelea, watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa nazo na hii ina include watu maarufu kutoka Tanzania. Mwanadada anaekuja kwa kasi katika upande wa fashion Sishkikiki nae ameonekana kuvutiwa na trend hii ambapo yeye tumeona akibeba pochi hizi kwa namna tofauti kabisa na tulivyozoea.

 • Kuvaa Mguuni

Mara ya kwanza tulimuona na hii mini bag akiwa ameivaa mguuni kama anklet, ambapo ali-match bag pamoja na nguo aliyoivaa yaani short high waist pants.

 • Kuvaa mkononi kama saa

Mara ya pili tulimuona akiwa amevalia off white Jacquemus mini bag kama saa kwenye wrist yake, ambapo alimalizia kwa mavazi ya leather pants, blue na nyeupe stripes top na pumps nyeusi.

Well Afromates ni style ipi unaweza kuijaribu kati ya hizi mbili?

Related posts

2 Comments

 1. Buy Mastermind Dark Chocolate online Canada

  … [Trackback]

  […] There you can find 96027 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/fashionista-siskikii-akituonyesha-namna-tofauti-za-kubeba-mini-bag-trend/ […]

 2. bbw cam girl autmn

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/fashionista-siskikii-akituonyesha-namna-tofauti-za-kubeba-mini-bag-trend/ […]

Comments are closed.