Rihanna ame tambulisha beauty line yake aliyo ipa jina Fenty Beauty na ana shades 40 ambazo kaanza nazo za kila skin color wengi wameonekana kuvutiwa nayo hasa sisi weusi sana na wale weupe sana ilikuwa tabu kupata rangi zinazo endana na rangi za miili yetu, Well tulikua tunasubiri ma makeup artist wetu watupe maoni yao kuhusu hii beauty line na luckily Makeup Artist Gracie malikita A.K.A Cherie_Mals ame fanya review ya brand hii

je ungependa kujua yeye ana majibu gani? Tazama Video Hapo Chini

 

It is safe to say now you can buy Fenty Beauty & you wont be disappointed